Hata hivyo (however), Ninatarajia darasa wa Kiswahili jioni na musiki rap.
Kwahiya (therefore), Mtu si mtu bila watu -- UJAMAA!
Turudi (let's return), nina hamu ya kukuona (au Ninatamani kukuona) = I miss you; tuna hamu ya kukuona = We miss you.
Bado niko macho = I am still awake
Zaidi = more
Tangu = since
Nitakomea hapa = I will stop here
Yenye kupendeza = interesting
Mwafaka = understanding
Pepe = note?
*Mungu akubariki na kukupa nguvu kila siku za maisha yako = God bless you and strengthen you all the days of your life
Kila mara (always),
Furaha
Thursday, April 14, 2005
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment