Monday, March 28, 2005

Mungu inariki Afrika!

Jina lako nini? Jina langu ni Furaha. Ninaitwa Tait. Ninakaa Brattleboro.
Unaitwa nani? Zungumza pole pole zaidi, tafadhali.
Nimefuraha kukutana nawe.

Wapi? Kule msituni....Kule mali....Kule kule...Unafahamu? Unaelewa?

Chakula ni kitamu! Asante kwa wakati mzuri.
Tunaondoka sasa hivi.
Tunaharaka. Tunapotea.

No comments: